MAHAKAMA YA TANZANIA YAANDAA MWONGOZO WA KIMENEJIMENTI
Baadhi ya wajumbe kutoka Mahakama ya Tanzania wakiwa
katika picha ya pamojawakati wa kikao
kazicha kuandaa mwongozo wa kimenejimenti
wa Mahakamaya Tanzania(JMG)
kichofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa St. Gaspar uliopo mjini Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni