Naibu Msajili, Mahakama
Kuu Kanda ya Moshi, Mhe. Abel Mpepo akitoa Mada kuhusu Mpango Mkakati wa
Mahakama kwa Watumishi wa Mahakama Kanda ya Moshi, lengo la mafunzo hayo ni
kukumbushana juu ya ushirikiano wa Watumishi wote wa Mahakama katika
utekelezaji wa Mpango Mkakati huo unaolenga kuboresha huduma za Mahakama kwa manufaa
ya wananchi.
Sehemu ya Watumishi wa
Mahakama Kanda ya Moshi wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani)
Mtendaji wa Mahakama
Kuu Kanda ya Moshi, Bw. Donald F. Makawia (katikati) pamoja na watumishi
wenzake wakiwa katika semina hiyo.
Watumishi wakiendelea
kufuatilia Mada inayotolewa.
(Picha na Angel Meela,
Mahakama Kuu-Moshi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni