Ijumaa, 25 Mei 2018

BAADHI YA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI-TANZANIA WATEMBELEA KIWANJA CHA MAHAKAMA-DODOMA


Pichani ni baadhi ya Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa wameambatana na Jaji Mfawidhi (aliyesimama nyuma wa tatu kushoto), Mahakama Kuu-Kanda ya Dodoma na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (aliyesimama nyuma katikati) na baadhi ya Naibu Wasajili wa Mahakama pindi walipotembelea eneo la Kiwanja cha Mahakama itakapojengwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma.

Picha ya pamoja ya Wahe. Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa katika eneo la Kiwanja cha Mahakama kilichopo eneo la ‘NCC LINK’ (Mlimani) mkoani Dodoma. Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania unataraji kuanza ndani ya mwaka huu 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni