Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.Baadhi ya Wafanyakazi wakiimba wimbo maalum wa mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) kwenye maandamano yaliyofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
(Picha na Magreth Kinabo)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma wakiwa maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi kuelekea katika viwanja vya Commmunity Centre katika manispaa ya Kigoma Ujiji. |
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma wakiwa maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi kuelekea katika viwanja vya Commmunity Centre katika manispaa ya Kigoma Ujiji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni