Ijumaa, 22 Juni 2018

MAFUNZO KUHUSU MFUMO WA TAKWIMU ZA MASHAURI KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YAFUNGWA





Naibu Msajili  Masijli  Kuu, Sharmillah Sarwatt akitoa mada kuhusu ufanyaji kazi kwa kwa bidii na kujali muda wakati wa mafunzo ya awamu ya pili kuhifadhi takwimu za mashauri kwa njia ya kielektroniki  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi  Msaidizi  wa Kitengo cha  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA), Essaba Machumu akitoa neno wakati wa ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili kuhifadhi takwimu za mashauri kwa njia ya elektroniki.

Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Gaston Kenyairita akitoa neno wakati wa ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili  ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili kuhifadhi takwimu za mashauri kwa njia ya elektroniki.
Naibu Msajili Kanda ya Dar es Salaam Joachim Tiganga  akitoa neno wakati wa ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili  kuhifadhi za mashauri kwa njia ya kielektroniki  yaliyofanyika jijini Dar esSalaam., ambapo  aliwataka makarani hao kuwa walimu kwa wengine. 

Baadhi ya makarani  wakiwa  katika mafunzo ya awamu ya pili ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili kuhifadhi takwimu za mashauri kwa njia ya elektroniki. 

(Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni