Zifuatazo ni baadhi ya
picha za jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Musoma linaloendelea kujengwa. Jengo
hili pamoja na mengine kadhaa yanayoendelea kujengwa na kukarabatiwa ni
jitihada za Mahakama ya Tanzania kuhakikisha kuwa inakuwa na miundombinu bora
itakayowezesha utoaji haki kwa wote na kwa wakati kama isemavyo dira ya
Mahakama.
(Picha
na Francisca Swai, Mahakama-Musoma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni