Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye kikao kazi cha siku tatu cha kuboresha Mfumo wa Takwimu na Taarifa za Mashauri wa Mahakama (JSDS) kilichoanza leo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es salaam.
Msajili wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Kahyoza akizungumzia jinsi Mahakama ya Tanzania ilivyoanza mchakato wa kuboresha Mfumo wa Takwimu na Taarifa za Mashauri wa Mahakama (JSDS) katika kikao kazi cha siku tatu cha kuboresha Mfumo huo kilichoanza leo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao kazi hicho. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri, Hakimu Mkazi Mhe. Victoria Nongwa.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao kazi hicho. Kulia ni Afisa Tehama wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi, Haruni Tungaraza akifuatiwa na Wasaidizi wa Sheria wa Jaji kutoka kitengo cha Usimamizi wa Mashauri Mhe. Godfrey Rweikiti na Mhe. Moses Ndelwa.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao kazi cha siku tatu cha kuboresha Mfumo wa Takwimu na Taarifa za Mashauri wa Mahakama (JSDS) kilichoanza leo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni