Wakili wa Kujitegemea
kutoka Haki Advocates, Bw. Aloyce Komba akitoa Mada ya utoaji wa Habari za
Kimahakama kwa Waandishi wa Habari za Mahakama wanaoshiriki katika mafunzo ya
Uandishi wa Habari za Kimahakama katika Ukumbi wa Magadu mkoani Morogoro.
Washiriki wakifuatilia
mada kwa umakini.
Naibu Msajili, Mahakama
Kuu, Mhe. Augustino Rwizile akitoa mada ya ‘Hatua mbalimbali za Mashauri ya
Jinai na Madai’, lengo ni kuwaelimisha zaidi Waandishi hao juu ya hatua/taratibu
mbalimbali katika uendeshaji wa mashauri hayo.
Afisa Tehama kutoka
Mahakama ya Rufani-Tanzania, Bw. Allan Machella akitoa mada ya ‘Njia kuelekea
Mahakama Mtandao, Mipango na Mafanikio.’
Mwandishi wa Nipashe,
Bi. Hellen Mwango akichangia mada katika mafunzo hayo.
(Picha na Mary Gwera)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni