Jumanne, 17 Julai 2018

TANGAZO


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

  

TANGAZO

Mahakama ya Tanzania inapenda kuwaarifu kuwa, Mahakimu Wakazi wote waliotakiwa kuripoti kazini kuanzia tarehe 13/07/2018 wanatakiwa kuripoti kwa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania - Dar es Salaam tarehe 27/07/2018 siku ya Ijumaa saa mbili kamili asubuhi kwa ajili ya kuapishwa. Aidha, Tangazo hili pia linapatikana kwenye tovuti zifuatazo:-
i.     Tovuti ya Mahakama ya Tanzania-www.judiciary.go.tz
iii.   Tovuti ya Wizara ya Katiba na Sheria.

Imetolewa na:-

Mtendaji Mkuu wa Mahakama,

Mahakama ya Tanzania,
26 Barabara ya Kivukoni,
S.L.P. 9004,
11409 DAR ES SALAAM.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni