Jumatatu, 20 Agosti 2018

MAHAKAMA KUU YAANZA KUTOA ELIMU KWA UMMA

Naibu Msajili Masijala Kuu,Mhe. Sharmillah  Sarwatt akitoa elimu kwa umma leo kuhusu mpango mkakati wa miaka mitano (2015/16 hadi 2019/2020) wa Mahakama ya Tanzania wenye lengo la kuboresha huduma za Mahakama na miundombinu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni