|
Wananchi
pamoja na watumishi wa Mahakama wakisikiliza kwa umakini mada itolewayo na
Hakimu Mkazi Mfawidhi Mhe. Rahimu Mushi akishirikiana na Mhe. Stanley Mwakihaba
pamoja na wanafunzi wa mafunzo kwa vitendo wa shule ya sheria katika viwanja
vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mapema Agosti 30.
|
Baadhi ya wananchi wakisikiliza mada kuhusu mada mirathi, ikiwa ni utekelezaji wa elimu kwa umma.
|
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa, Mahakama hii na nyingine kadhaa nchini zimejiwekea utaratibu wa kuzungumza na Wananchi/wateja wake, lengo likiwa ni kutoa elimu juu ya masuala mbalimbali yahusuyo Mahakama.
(Picha na Franciscar Romanus, Mahakama ya Mkoa, Musoma-Mara) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni