Jumatano, 26 Septemba 2018

BAADHI YA VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAJADILI KUHUSU RUSHWA


Mkuu wa Kitengo cha  Maboresho ya Huduma za Mahakama, Mhe Zahra Maruma (wa kwanza kushoto), ambaye ni Mwezeshaji katika kikao cha  jinsi ya  kupambana na rushwa ,akizungumza jambo kwenye kikao hicho, kilichofanyika Septemba 26, katika Ukumbi wa Maktaba, Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Wanyenda Kutta , (aliyejishika mikono) akizungumza jambo wakati wa kikao cha jinsi ya kupambana na rushwa.



Mtendaji wa Mahakama ya Rufani  ya Tanzania, Bw. Solanus Nyimbi  akichangia jambo wakati wa kikao hicho.

Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia kuhusu mada hiyo.  





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni