Mkuu wa Kitengo cha
Usimamizi wa Maboresho cha Mahakama ya Tanzania Mhe. Zahra Maruma akitoa ufafanuzi kwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezar Feleshi (hayupo Pichani) alipokwenda ofisini kwake kumuelezea maendeleo ya Mradi wa Maboresho
ya Huduma za Mahakama leo jijini
Dar es salaam.
Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezar Feleshi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo
cha Usimamizi wa Maboresho cha Mahakama ya Tanzania Mhe. Zahra Maruma alipokuwa
akisisitiza jambo wakati anawasilisha Mada kuhusu Mpango Mkakati wa Miaka
Mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za
Mahakama leo jijini Dar es Salaam.

Jaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Dkt. Benhajj Masoud
(kulia) akimuelezea jambo Mkuu wa Kitengo cha
Usimamizi wa Maboresho cha Mahakama ya Tanzania Mhe. Zahra Maruma.
Mtendaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Samson Mashalla akifuatilia Mada. Kulia ni
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam (Masjala Kuu) Mhe. Shamira
Sarwatt.
Maafisa
wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho cha Mahakama ya Tanzania
wakifuatilia Mada kuhusu Mpango Mkakati. Kushoto ni Mhe. Ritha Tarimo na Kulia ni Mhe. Kassian Mshomba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni