Jaji
Mfawidhi wa Mahakama kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi Mhe. Rehema Kerefu
(mwenye suti nyeusi katikati) akiwa pamoja na Majaji wengine wa Divisheni hiyo katika kikao
cha pamoja na Wadau kujadili mashauri yatakayosikilizwa kwenye vikao vya mashauri
(Session) vinavyotarajiwa kuanza Oktoba 1 hadi Novemba 2, 2018. Kutoka kulia ni
Mhe. Awadh Mohamed akifuatiwa na Mhe. Salma Maghimbi na Mhe. Crecencia
Makuru. Kushoto ni Mhe. Leila Mgonya akifuatiwa na Mhe. Joaquine De
Mello.
Baadhi
ya wadau pamoja na watumishi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya
Ardhi wakiwa kwenye kikao kujadili mashauri yatakayosikilizwa kwenye
vikao vya mashauri (Session) vinavyotarajiwa kuanza Oktoba 1 hadi Novemba 2,
2018.
Wadau pamoja na Watumishi wa Mahakama wakiwa kwenye kikao kujadili mashauri yatakayosikilizwa kwenye vikao vya mashauri (Session) vinavyotarajiwa kuanza Oktoba 1 hadi Novemba 2, 2018.
Wadau
wakifuatilia kwa makini kinachojiri katika kikao hicho.
Wadau
wakiwa kwenye kikao kujadili mashauri yatakayosikilizwa kwenye vikao vya
mashauri (Session) vinavyotarajiwa kuanza Oktoba 1 hadi Novemba 2, 2018.
(Picha na Dhillon John, Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni