Ijumaa, 21 Septemba 2018

RASIMU YA SERA YA MAWASILIANO YAWASILISHWA KATIKA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA MAHAKAMA YA TANZANIA


Mtaalamu Mwelekezi wa Mawasiliano, Mahakama,  Dkt. Cosmas Mwaisoba akiwasilisha rasimu ya Sera ya Mawasiliano  kwa wajumbe wa kikao  cha Menejimenti cha Mahakama ya Tanzania kilichofanyika Septemba 21 kwenye Kituo cha Mafunzo, kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Baadhi  ya  wajumbe wa Menejimenti cha Makama ya Tanzania wakiwa katika kikao  hicho.
Baadhi  ya  wajumbe wa Menejimenti cha Makama ya Tanzania wakiwa katika kikao  hicho

Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara, Bw. William Machumu akichangia jambo kuhusu Sera ya Mawasiliano. 
(Picha na Mary Gwera)




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni