Alhamisi, 13 Septemba 2018

WAJUMBE WA UANDAAJI WA MWONGOZO WA KIMENEJIMENTI WA MAHAKAMA TANZANIA WAJADILI MWONGOZO HUO NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO

Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Mahakama ya Tanzania, Bi.Wanyenda Kutta, akizungumza jambo kuhusu uandaaji wa Mwongozo wa Kimenejimenti wa Mahakama ya Tanzania katika  kikao kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa kituo cha mafunzo kilichopo eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Kikao kimehusisha wajumbe wa uandaaji huo na baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo vya Mahakama ya Tanzania. kulia ni Afisa Utumishi, Juni Mdede.
Baadhi  ya wajumbe  wakiwa katika  kikao cha uandaaji wa Mwongozo wa Kimenejimenti wa Mahakama ya Tanzania,kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa kituo cha mafunzo kilichopo, Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa uandaaji wa Mwongozo wa Kimenejimenti wa Mahakama ya Tanzania , Donald  Ndagula  akiwasilisha mwongozo huo, wakati wa kikao kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa kituo cha mafunzo kilichopo, Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Baadhi  ya wajumbe  wakiwa katika  kikao cha uandaaji wa Mwongozo wa Kimenejimenti wa Mahakama ya Tanzania, kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa kituo cha mafunzo kilichopo, Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni