Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Mhe. Jaji Mosses Mzuna(aliyekaa kulia)akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhe. Tumaini Magesa,
Katika
mazungumzo hayo, Mhe. Jaji Mzuna alimjuza Mkuu huyo wa Wilaya kuhusu Mpango Mkakati
wa Mahakama na mabadiliko yanayoendelea
kufanywa na Mahakama ili kuweza kuboresha huduma kwa wananchi wote na kwa usawa.
Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya
Arusha, Mhe. Mosses Mzuna (mwenye tai nyekundu) akikagua mipaka ya kiwanja
cha Mahakama ya Wilaya Kiteto alipokuwa katika ziara ya kikazi Wilayani humo.
(Picha na Catherine Francis, Mahakama Kuu, Arusha)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni