Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya
Hakimu Mkazi Pwani Mhe. Joyce Mkhoi (kushoto) akiongea katika mkutano huo,
kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya-Kibaha Mhe. Rose Kangwa.
|
Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani Bi Athanasia Kabuyanja (kushoto)
akiongea na wananchi katika mkutano huo. |
Sehemu ya wananchi waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani ili kupata
elimu kuhusu taratibu mbalimbali za kusikiliza mashauri Mahakamani.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni