Jumamosi, 10 Novemba 2018

MAHAKAMA ZINAZOTEMBEA MBIONI KUANZA: MAFUNZO KWA WATUMISHI YAANZA

Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi akifungua Mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye Mahakama zinazotembea (Mobile Courts). Mafunzo hayo yameanza jana katika kituo cha Mafunzo cha Kisutu jijini Dar es salaam.
 
Ili kusogeza huduma za Mahakama karibu zaidi na wananchi na kuhakikisha mashauri yanamalizika kwa wakati, Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itaanzisha Mahakama zinazotembea hivi karibuni.
 
 
  Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Usuluhishi Mhe. Rose Teemba akitoa mada kuhusu Usuluhishi kwenye Mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye magari maalum yatakayotumika kuendeshea mashauri yaani Mahakama zinazotembea (Mobile Courts). Kushoto ni Mkurugenzi wa Menejimenti ya Mashauri Mhe. Eva Nkya.

Mkurugenzi wa Tehama wa Mahakama ya Tanzania Bwn. Kalege Enock akizungumza wakati wa mafunzo hayo.
 
 Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Menejimenti ya Mashauri wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Eva Nkya akizungumzia namna Mahakama inayotembea itakavyofanya kazi wakati wa mafunzo katika kituo cha mafunzo cha Kisutu.

Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi akiwa katika picha ya pamoja na Wahe. Mahakimu mara baada ya kufungua mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye Mahakama zinazotembea (Mobile Courts). Mafunzo hayo yameanza jana katika kituo cha Mafunzo cha Kisutu jijini
Dar es salaam.
Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Idara ya Menejimenti ya Mashauri mara baada ya kufungua mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye Mahakama zinazotembea (Mobile Courts). Mafunzo hayo yameanza jana katika kituo cha Mafunzo cha Kisutu jijini Dar es salaam.
Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Mahususi na Makarani mara baada ya kufungua mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye Mahakama zinazotembea (Mobile Courts). Mafunzo hayo yameanza jana katika kituo cha Mafunzo cha Kisutu jijini Dar es salaam.
Jaji  Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa Mahakama mara baada ya kufungua mafunzo maalumu kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania watakaofanya kazi kwenye Mahakama zinazotembea
(Mobile Courts).

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Ukonga Mhe. Fauzia Hamza akielezea jambo wakati wa mafunzo ya namna ya kutoa huduma kwenye Mahakama inayotembea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni