Ijumaa, 28 Desemba 2018

BAADHI YA VIONGOZI WA MAHAKAMA YA TANZANIA NA WATUMISHI WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA

Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho kwa baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Mahakama ya Tanzania.

Baadhi ya Viongozi wa  Mahakama ya Tanzania na Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.

Baadhi ya  Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.

Baadhi ya Viongozi wa  Mahakama ya Tanzania na Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.

Baadhi ya Viongozi wa  Mahakama ya Tanzania na Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.

Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho kwa Viongozi na Watumishi wa Mahakama.

Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, Mhe. Zahra Maruma akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.

Mtendaji wa Mahakama ya Rufaa, Bw. Solanus  Nyimbi akifunga mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
(Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni