Jumatano, 19 Desemba 2018

JAJI KIONGOZI ATEMBELEA UJENZI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MUSOMA

  Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Musoma lililopo  mkoa wa Mara likiendelea  kujengwa.
Kiongozi  wa Mahakama Kuu  Tanzania,Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi  kulia akisikiliza maelezo  kuhusu ujenzi  wa jengo la Mahakama Kuu Kanda ya  Musoma kutoka kwa  fundi. Katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza,Mhe Sam Rumanyika.

Kiongozi  wa Mahakama Kuu  Tanzania,Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi wa pili kutoka kulia akisikiliza maelezo  kuhusu ujenzi  wa jengo la Mahakama Kuu Kanda ya  Musoma kutoka kwa  fundi. Kushoto wa kwanza ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza,Mhe Sam Rumanyika.

Jaji Kiongozi  wa Mahakama Kuu  Tanzania,Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi  (katikati) akiwa katika  picha ya pamoja na baadhi ya mafundi mara baada ya kukagua jengo la Mahakama Kuu Kanda ya  Musoma.

Jaji Kiongozi  wa Mahakama Kuu  Tanzania,Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (katikati) akisikiliza maelezo  kuhusu ujenzi  wa jengo la Mahakama Kuu Kanda ya  Musoma kutoka kwa fundi. Kulia  ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza,Mhe Sam Rumanyika.

Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Musoma lililopo  mkoa wa Mara likiendelea  kujengwa.
(Picha na Francisca Swai)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni