Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mhe. Ibrahim Juma akizungumza jambo na ujumbe wa wanafunzi wa ‘North
Western Pritzker School of Law
University’.
|
Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mhe. Ibrahim Juma akizungumza jambo na ujumbe wa wanafunzi wa ‘North
Western Pritzker School of Law
University’, kutoka Marekani.
Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mhe. Ibrahim Juma akipokea zawadi kutoka kwa mmoja ya wanafunzi
‘North
Western Pritzker School of Law
University’ Deborah Farmer.
|
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Ibrahim Juma
akiwaonyesha ujumbe wa wanafunzi
wa ‘North Western Pritzker School of Law
University’ bango la Mahakama ya Tanzania
lenye ujumbe mbalimbali ikiwemo suala la rushwa.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Ibrahim Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanafunzi wa ‘North Western Pritzker School of Law University’.Kushoto wa pili ni Msaidizi wa Mkuu wa Shule ya Sheria, anayeshughulikia Taaluma, Christopher Martin.
(Picha na Magreth Kinabo)
(Picha na Magreth Kinabo)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni