Mtaalam wa Mahakama Mtandao
na Menejimenti ya Mashauri, Timo Ligi akizungumzia kuhusu Mahakama Mtandao.
Mkurungezi wa
EMEA,Lembit Loo akizungumzia kuhusu mahakama mtandao
( e Judiciary) wakati wa kikao kazi baina na kamati kutoka Tanzania na Estonia.
|
Msajili Mkuu wa
Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina
Revocati (katikati),akiwa katika picha ya pamoja timu ya washauri wa mifumo ya Mahakama
Mtandao ‘e Judiciary’ kutoka Estonia, ikiwemo kamati ndogo ya usimamizi
wa mifumo hiyo kutoka Mahakama ya Tanzania
Wataalam wa mifumo
ya Mahakama Mtandao kutoka Estonia wakiwa katika kikao kazi na kamati ya Mahakama ya Tanzania kuhusu mifumo hiyo .
|
Mtaalam wa Mahakama Mtandao
na Menejimenti ya Mashauri, Timo Ligi akizungumzia kuhusu Mahakama Mtandao.(kushoto) katikati Jaak Laapere na wa pili kulia Margit Lauri na kulia wa kwanza Lembit Loo.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni