Alhamisi, 17 Januari 2019

UJUMBE KUTOKA TAASISI YA SLYNN WATEMBELEA OFISI YA MSAJILI MKUU




  Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati(wa tatu kulia) akizungumza leo  na ujumbe kutoka taasisi ya Slynn katika ofisi yake iliyoko Mahakama Kuu ya Tanzania

Kaimu  Mkuu wa Maktaba  ya  Tanzania, Kifungu  Mrisho (kushoto wa kwanza)akitoa maelezo kuhusu kitengo cha maktaba wakati ujumbe kutoka taasisi ya Slynn ulipotembelea  Mahakama ya Tanzania.( Kushoto wa Pili) ni  Hakimu Mkazi kutoka Kitengo  cha  Usimamizi wa Huduma za Maboresho ya Mahakama(JDU) Elimo Masawe.


Mkurugenzi  wa Kurugenzi ya Menejimenti ya Mashauri,Mhe. Eva Nkya(katikati) akizungumzia kuhusu majukumu ya kurugenzi hiyo
 
 
. Ujumbe kutoka taasisi ya Slynn  Mhe. Nic Madge (wa kwanza kulia), wa pili  kulia ni Mhe. Lord  Bonomy na Mkurugenzi  w a taasisi hiyo, Alison  Fenney  wakisikiliza maelezo  ya kutoka kurugenzi hiyo.





 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni