Picha
mbalimbali za tukio la Uapishwaji wa jumla ya Mahakimu wapya 13 walioajiriwa
hivi karibuni, Sherehe za kuapishwa zilifanyika Februari 23, Mahakama Kuu
Mtwara.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisaini hati ya
kiapo mara baada ya kumuapisha moja ya Mahakimu wa Mahakama za Mwanzo 13
walioapishwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni