Maonesho
ya Wiki ya Sheria na Uelimishaji Umma kuhusu masuala ya Sheria na taratibu za Mahakama yanaendelea katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Pichani ni wanafunzi kutoka shule za sekondari wakijifunza mambo mbalimbali kuhusu Mahakama.
Maonesho ya Wiki ya Sheria na Uelimishaji Umma kuhusu masuala ya Sheria na taratibu za Mahakama yanaendelea katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Pichani ni wanafunzi kutoka shule za sekondari wakijifunza mambo mbalimbali kuhusu Mahakama.
Wanafunzi kutoka shule za sekondari wakijifunza mambo mbalimbali kuhusu masuala ya Sheria.
Wanafunzi kutoka shule za sekondari wakijifunza mambo mbalimbali kuhusu masuala ya Sheria.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akiwa na Watumishi wa Mahakama Mhe. Warsha Ng'umbu na katika banda la Maonesho la Mahakama ya Tanzania wakisubiri kutoa Elimu kwa wananchi wanaofika kujifunza.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Hussein Kattanga (kulia-waliosimama) akiwa na Watumishi wa Mahakama Mhe. Warsha Ng'umbu na pamoja na Watumishi wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (East African Court of Justice) katika banda lao la Maonesho.
Wananchi wakiwa pamoja na Watumishi wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (East African Court of Justice) katika banda lao la Maonesho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni