Sehemu ya Watumishi wa Mahakama-Mkoa wa Morogoro wakiwa katika matembezi maalum ya kuashiria uzinduzi wa Wiki ya Utoaji elimu ya Sheria kwa mwaka 2019.
Maandamano ya Wiki ya Sheria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani.
Wiki ya Sheria, Mahakama Kanda ya Arusha.
Utoaji elimu ya sheria ukiendelea, Shinyanga.
Matembezi ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria, Mahakama Kanda ya Tanga.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bugoyi iliyopo mkoani Shinyanga wakipatiwa elimu ya Sheria na Maafisa Mahakama mkoani humo (hawapo pichani).
Baadhi ya Watumishi, Mahakama-Kanda ya Songea wakiwa katika matembezi ya Wiki ya utoaji elimu ya sheria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni