Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba akipatiwa maelezo kuhusu Maboresho ya Huduma za Mahakama katika Maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyomalizika leo jijini Dodoma. Kulia ni Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Usimamizi wa Mahakama za Mwanzo)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba akipatiwa maelezo kuhusu Usimamizi wa Mashauri na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mhe. Victoria Nongwa kwenye Maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyomalizika leo jijini Dodoma.
Wananchi wakipatiwa huduma kwenye banda la Mirathi kwenye Maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyomalizika leo jijini Dodoma. |
Wanafunzi wa shule za sekondary na vyuo wakijifunza kutoa huduma kwenye Maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyomalizika leo jijini Dodoma.
Wanafunzi wa shule za sekondary na vyuo wakijifunza kutoa huduma kwenye Maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyomalizika leo jijini Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni