Sehemu ya Wanafunzi waliotembelea katika banda la Mahakama linaloshiriki katika Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba'.
WJaji wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara, Mhe.Jaji Butamo Phillip akisaini kitabu cha wageni alipotembelea sehemu ya Kitengo cha Maboresho-Mahakama ya Tanzania kilichopo ndani ya banda la Mahakama ya Tanzania katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere- 'Sabasaba' vilivyopo barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wananchi wakipata huduma.
Wananchi wakiendelea kupata huduma ya msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ambao pia wanapatikana ndani ya banda la Mahakama.
Naibu Msajili, Mahakama Kuu- Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Joseph Fovo akiwaelimisha wananchi waliotembelea Mahakama katika Maonesho ya Sabasaba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni