Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na Watumishi wa Mahakama ya Mwanzo Lugarawa-Ludewa mara baada
ya kuwasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya kikazi katika mikoa ya
Njombe na Iringa.
Jengo
la Mahakama ya Mwanzo Lugarawa likiwa katika hatua ya ukamilishwaji wake.
Mkuu wa wilaya ya Ludewa,
Andrea Tsere akizungumza wakatia Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis
Juma alipomtembelea ofisini kwake wilayani Ludewa.
|
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiongea na Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bwn. Andrea Tsere wakati wakielekea Mahakama ya wilaya ya Ludewa kukagua shughuli za Mahakama pamoja na kuzungumza na Watumishi.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na Watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Ludewa mara baada ya kuwasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Njombe na Iringa.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Ludewa pamoja na watumishi wengine wa Mahakama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni