Alhamisi, 5 Septemba 2019

WAKAZI WA CHANIKA JIJINI DAR WAPATIWA ELIMU MAHAKAMA INAYOTEMBEA

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Ukunga, Mhe.  Fauzia Hamza  akielezea jana  jinsi Mahakama Inayotembea inavyofanya kazi  kwa Mkuu wa Polisi Wilaya Chanika, wa pili(Kulia), Frank  Yeseya, wa (kwanza kulia) ni  Afisa Upelelezi wa Wilaya ya Chanika, William Solla na (kushto )ni Mkuu wa Kituo cha Polisi Chanika Suphian  Kasanga.
 Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba  akiwaelezea jana  baadhi ya wakazi wa Gongolamboto Stendi , jijini Da res Salaam  kuhusu Mahakama Inayotembea Inavyofanya kazi wakati wa kutoa elimu kwa umma kuhusu  Mahakama hiyo.

Karani wa Mahakama ya Mwanzo, Fraikunda   Munisi(katikati) akitoa elimu  jana kuhusu Mahakama Inayotembea kwa wakazi wa Gongolamboto Stendi , jijini Da res Salaam.

          Baadhi ya vijana wa Gongolamboto Stendi jijini Dar es Salaam, wakisoma vipeperushi vya Mahakama Inayotembea jana wakati wa utoaji elimu kuhusu Mahakama hiyo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni