Jumatatu, 4 Novemba 2019

JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WALIOAPISHWA LEO




Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akizungumza na majaji  wapya wa Mahakama  Kuu ya Tanzania, waliapishwa leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA)-Lushoto, Dkt. Paul Kihwelo (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania walioapishwa leo.
Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Bw. Leonard Magacha akifafanua jambo kwa majaji wapyua wa Mahakama Kuu ya Tanzania waliapishwa leo.


(Picha na Magreth Kinabo-Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni