Ijumaa, 8 Novemba 2019

MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA YAAGA VIONGOZI WALIOHAMA

Aliyekuwa Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Mhe.Sekela Mwaiseje (aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kumuaga baada ya kuhamia Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.tukio hili limefanyika Novemba 7, mwaka huu.

Aliyekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Bw. Ernest Masanja akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kumuaga  baada ya kuhamia Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba.

Bw. Bildar Ogenga( aliyesimama) akitoa salamu za shukrani  na kuwatakia heri viongozi wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, ambao wamehama kikazi kwa niaba ya watumishi wa kanda hiyo.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Mhe. Gerson Mdemu akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo.

Aliyekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Bw. Ernest Masanja(kushoto) akitia saini  hati ya makabiadhiano ya ofisi. Kulia ni Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga aliyehamia kutoka Mahakama Kuu ya Kanda ya Bukoba.

(Picha n Emmanuel Oguda – Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni