Alhamisi, 14 Novemba 2019

MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA YAMKARIBISHA MTENDAJI


 Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu  Kanda ya Bukoba , Mhe. Ntemi Kilekamajenga akitoa neno la kumuaga Bw. Ignatio Kabale na kumkaribisha Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Bw. Ernest Masanja.ambaye ametokea Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga. tukio hili limefanyika hivi karibuni. 


Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Bw. Ernest Masanja akitoa neno la shukrani baada ya kukaribishwa katika Mahakama hiyo.


Aliyekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Bw.  Ignatio Kabale, ambaye amekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga,  akitoa htuba ya kuaga.



Watumishi Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukoba na Mahakama ya Mwanzo Bukoba Mjini wakishuhudia tukio la makabidhiano ya ofisi kati ya aliyekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Bw. Ignatio Kabale,  ambaye amekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga. na kumkaribisha Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Bw. Ernest Masanja analiyetokea  Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga.


(Picha na Ahmed Boniface – Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni