Jumanne, 19 Novemba 2019

MATUKIO KATIKA PICHA YA KIKAO CHA KAMATI ZA JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Hamis Juma (kushoto) akizungumza jambo  wakati wa kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu kilichofanyika Novemba 18,mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanazania (BOT), jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu wa Kikao hicho, ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka.


Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe.Stella Mugasha akichangia jambo.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wa kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu wakiwa katika kikao hicho.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Maboresho cha Mahakama ya Tanzania, Mhe, Zahra Maruma akifafanua jambo kwenye kikao hicho.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wenyeviti wa Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu, wa kwanza kulia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Stella Mugasha, kushoto wa pili ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka, wa pili kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kushoto wa kwanza ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wa Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu, wa kwanza kulia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Stella Mugasha, kushoto wa pili ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka, wa pili kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kushoto wa kwanza ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu, wa kwanza kulia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Stella Mugasha, kushoto wa pili ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka, wa pili kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kushoto wa kwanza ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (kushoto) akiwa akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (katikati) mara baada ya kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania  (kulia ) ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (katikati) akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Maboresho  ya Huduma za  Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma (kulia) jana baada ya kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu na (kushoto) ni Katibu wa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Ginaweda Nashoni.

(Picha na Magreth Kinabo- Mahakama)





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni