Jumanne, 19 Novemba 2019

PICHA ZA MAJAJI WAPYA WA MAHAKAMA KUU WAKIWA KATIKA MAFUNZO

Balozi Charles Sanga akitoa mada kuhusu Itifaki wakati wa mafunzo elekezi kwa majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, yanayoendelea katika Kituo cha Mafunzo na Habari kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameanza Novemba 18, mwaka huu na yatamalizika Novemba 22, mwaka huu kwenye kituo hicho.
Majaji hao wakiwa katika mafunzo hayo.
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Stella Mugasha(aliyenyoosha mkono) akitoa mada kuhusu masuala na na  Kanuni za Mwenendo  wa Maafisa wa Mahakama na majukumu ya Kamati ya Maadili ya Majaji.

Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma akitoa mada kuhusu  Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni