Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe, Dkt. Atuganile Ngwala(kushoto)
akitoa Mafunzo kwa Wasaidizi wa Kumbukumbu, Makatibu Mahsusi na Wasaidizi wa
ofisi wa Mahakama hiyo, ambapo aliwataka
kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza
majukumu yao ya kazi. Aidha Dkt. Ngwala aliwataka watumishi hao kuzingaatia maadili ya kazi zao kuwa mstari
wa mbele katika matumizi ya Teknolojia
ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA). Kulia ni Naibu Msajili Mahakama Kuu
Kanda ya Dare Salaam, Mhe. Ruth Massam.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni