Picha ya
Kwanza ni Mtendaji wa Mahakama ya Ardhi na ADR, Bibi. Mary Shirima (aliyeketi kiti cha mbele kushoto) akifungua mafunzo kwa madereva wa viongozi mwishoni mwa wiki iliyopita Desemba 20, 2019 lengo ni kukumbushana majukumu yao waweze kuyafanya kwa weledi zaidi.
Madereva wakiwa katika Mafunzo hayo.
Picha ya
pili ni Mkufunzi kutoka chuo cha NIT Bwana Fikkeni William Mpungu akiendsha
mafunzo hayo kwa madereva ili kuweza kujua na kukagua chombo anacho
endesha, mavazi na utanashati kwa kuendesha viongozi
Na mambo
mengine ya kitaaluma kuhusiana na kazi zao.
(Picha na Dhillon John, Mahakama ya Ardhi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni