Jaji Mafawidhi Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. Mhe. Issa Maige (katikati)
akifingua mafunzo ya Wasaidizi wa Sheria wa Majaji wa mahakama hiyo, yaliyofanyika hivi karibuni.
|
Baadhi ya Wasaidizi wa
Sheria wa Majaji wa Mahakama Kuu
Divisheni ya Ardhi, wakiwa katika mafunzo
kuhusu taratibu na majukumu yao ya kazi.
yaliyofanyika hivi karibuni.
(Picha na Dhillon John- Mahakama ya Ardhi)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni