Jumanne, 4 Februari 2020

JAJI MKUU ATAKA MAJAJI KUTOA TAARIFA FUPI KESI ZA MVUTO

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma akitoa hotuba ya kufungua Kongamano la Majaji wa Tanzania na Majaji wa Uingereza linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa  Mwalimu J. K. Nyerere jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo lilianza Februari  3, mwaka huu na litamalizika Februari 4, mwaka huu.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu, Mhe.  Mohamed Chande Othman ( katikati), Jaji wa Mahakama ya Uingereza, Mhe. Nicholas Blake (kushoto) na Jaji wa Mahakama ya  Uingereza, Mhe.  Lain Bonomy ( kulia) wakifuatilia kongamano hilo.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu, Mhe.  Mohamed Chande Othman ( kushoto) akizungumza jambo na kulia ni Jaji wa Mahakama ya Uingereza,  Mhe.  Lain Bonomy.

Jaji wa Mahakama  ya Rufani Mhe. Rehema Kerefu akizungumza.

Majaji wa  Mahakama Kuu ya Tanzania wakifuatilia kongamano hilo.

Majaji wa  Mahakama ya Rufaaa  Tanzania  na Majaji wa Mahakama  Kuu ya Tanzania wakifuatilia kongamano hilo.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim  Hamis Juma ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama  Kuu ya Tanzania, (kulia wa tatu) Jaji wa Mahakama ya Uingereza. Mhe. Lain Bonomy na  (wa pili kushoto)  ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu, Mhe.  Mohamed Chande Othman. Kushoto wa kwanza ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi.

 (Picha na Magreth Kinabo- Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni