Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe. George Masaju akielezea jambo alipotembelea Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea jijini Dodoma. Wiki ya Sheria ilianza Januari 31, 2020 na kilele chake ni siku ya Sheria nchini itakayofanyika Februari 6, 2020 jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mtendaji wa Mahakama Kuu Bwn. Samson Mashalla.
Jaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe. George Masaju
akisikiliza maelezo ya kina kuhusu mifumo ya Mahakama ya Tanzania ya kurahisisha utendaji kazi alipotembelea banda la Kurugenzi ya Tehama leo katika Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma. Wiki ya Sheria ilianza Januari 31, 2020 na kilele chake
ni siku ya Sheria nchini itakayofanyika Februari 6, 2020 jijini Dar es
salaam.
Muonekano wa banda la Maonesho la Mahakama ya Tanzania ambalo linatumika katika utoaji wa Elimu ya Sheria . Maonesho yanaendelea jijini Dodoma ambapo Watumishi wa Mahakama pamoja na wadau wake wanaelimisha wananchi wanaotembelea.
Muonekano
wa banda la Maonesho la Mahakama ya Tanzania ambalo linatumika katika
utoaji wa Elimu ya Sheria . Maonesho yanaendelea jijini Dodoma ambapo
Watumishi wa Mahakama pamoja na wadau wake wanaelimisha wananchi
wanaotembelea.
Jaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe. George Masaju
akisaini Kitabu mara baada ya kuwasili kwenye Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma. Wiki ya Sheria ilianza Januari 31, 2020 na kilele chake
ni siku ya Sheria nchini itakayofanyika Februari 6, 2020 jijini Dar es
salaam.
Jaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe. George Masaju
akizungumza na Waoneshaji alipotembelea banda la Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali alipowasili kwenye Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma.
Wananchi wakiwa kwenye Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma.
Wananchi wakiwa kwenye Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma.
Afisa Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Magreth Chambiri akihudumia wananchi wanaofika kwenye Maonesho ya wiki ya Sheria yanayoendelea
jijini Dodoma.
Huyu Jaji Wa Mahakama ya UINGEREZA NI wa mahakama Kuu au supreme na amekuja kwa ajili ya program gani
JibuFuta