Alhamisi, 26 Machi 2020

KABUNDUGURU AKAGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA MUSOMA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (wa pili kushoto) na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma (wa kwanza kushoto), wakizungumza na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Musom, Mhe. John Kahyoza (wa tatu kulia),pamoja viongozi wenginea, walipotembelea Mahakama Kuu Kanda ya Musoma  kwa ajili ya  kukagua.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (mwenye shati jeupe) akitembelea masjala ya mahakama hiyo.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (mwenye shati jeupe) akiwa na baadhi ya viongozi wengine wa Mahakama wakitoka nje ya jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Musoma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (mwenye shati jeupe mstari wa kwanza ) na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,
Mhe. Wilbert Chuma (wa tatu kulia mstari wa mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi.


(Picha na Simon Lyova - Mahakama Kuu Kanda ya Musoma)


 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni