Jumatatu, 16 Machi 2020

KABUNDUGURU AKAGUA UJENZI WA KITUO MAHAKAMA JUMUISHI YA UTOAJI HAKI KIHONDA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru ( aliyenyoosha mkono) akikagua  leo ujenzi wa  jengo   la Kituo  cha Mahakama Jumuishi  cha  Utoaji Haki (IJC) kilichopo eneo la Kihonda Wilaya ya Morogoro. Kituo hicho  kinajumuisha Mahakama Kuu,  Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya Wilaya, Mahakama   ya Mahakama Mwanzo,   zikiwemo ofisi za wadau wote wa Mahakama.



Mafundi wakiendelea na ujenzi leo wa  Kituo hicho, kilichopo eneo la Kihonda Wilaya ya Morogoro. 


(Picha na Magreth Kinabo – Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni