Viongozi Waandamizi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao cha pamoja na Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (hayupo pichani) leo
jijini Dar es salaam alipokuwa akifanya majumuisho ya ziara yake ya kikazi katika kanda ya
Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Mathias Kabunduguru, aqkifuatiwa na Msajili Mkuu Mhe. Wilbert Chuma.
Jaji kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akisisitiza jambo wakati wa
kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi kanda ya Dar es salaam alichofanya na
Viongozi Waandamizi wa Mahakama ya Tanzania.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Mathias
Kabunduguru akifafanua jambo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya Jaji
Kiongozi.
Baadhi ya Viongozi
Waandamiazi wa Mahakama ya Tanzania waliohudhuria kikao cha Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania (hayupo pichani) wakisikiliza majumuisho yaliyotokana
na ziara ya kikazi aliyoifanya kanda ya Dar es salaam.
(Picha na Innocent Kansha- Mahakama)
Safi sana. Hakika tunakwenda kwa kasi nzuri. Mungu ibariki Mahakama ya Tanzania, Mungu ibariki Tanzania.
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaPongezi nyingi kwa utumishi uliotukuka kwa mahakama hasa viongozi wa juu, pongezi kwa Feleshi JK.
JibuFuta