Na Mwandishi wetu
Mwili aliyekuwa Hakimu
Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Geita, Mhe. Gabriel Nimrod Kurwijila umezikwa Mei 9, mwaka huu kijijini
kwao Iramba wilayani Bunda mkoani Mara.
Hakimu huyo, Mei
5, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa
akipatiwa matibabu.
Mazishi ya Hakimu
huyo, yalifanyika kwa utaratibu wa Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na
familia yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni