|
Muonekano wa jengo
linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC)
lililopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jengo hilo la ghorofa tatu litakuwa na
Mahakama ya Mwanzo, Wilaya na Mkoa. Zikiwemo ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama wakiwemo Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka.
|
|
Fundi ujenzi akijenga
ngazi kwa ajili ya jengo hilo.
|
|
Baadhi ya mafundi
wakiendelea na ujenzi huo.
|
|
Baadhi ya mafundi
wakiendelea na ujenzi huo.
|
|
Baadhi ya wajumbe
wakiendelea na kikao hicho.
|
|
Meneja mradi wa jengo hilo, Bw. Habibu Noor akiendesha kikao kazi cha ujenzi huo kilichofanyika jana kwenye kituo hicho.Kushoto wa kwanza ni Mhandisi, Coelestine Rutasindana na wa pili kushto ni Fabian Kwagilwa kutoka Mahakama ya Tanzania wakiwa katika kikao hicho. |
|
Muonekano wa jengo
linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) lililopo Jijini Arusha. Majengo haya yaliyofuatia yatakuwa na sakafu nne yaani ghorofa tatu na yatajumuisha ngazi zote za Mahakama kuanzia Mahakama Kuu mpaka Mahakama ya Mwanzo pamoja na ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama wakiwemo Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka.
|
|
Muonekano wa jengo
linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) lililopo Jijini Arusha.
|
|
Muonekano wa jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo Kihonda, Morogoro. |
Muonekano wa jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha
Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo Kihonda,
Morogoro.
Muonekano wa jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) lililopo Jijini Mwanza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni