Jumanne, 18 Agosti 2020

MAFUNZO YA NAMNA BORA YA UENDESHAJI WA KESI ZA UCHAGUZI YAENDELEA DODOMA

 

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Robert Makaramba akijibu maswali ya Waheshimiwa Majaji mara baada ya kuwasilisha Mada katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma. 
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi Mhe. Salma Mussa Maghimbi akichangia Mada baada ya kuwasilishwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Mhe. Robert Makaramba katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma. 
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe akitoa Mada kwa Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Bw. Hamidu Mwanga akijibu maswali mara baada ya kuwasilisha Mada kwa Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kuhusu Changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Uchaguzi Tanzania katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma. Kushoto ni Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Imani Daud Aboud. 
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam Mhe. Rose Ebrahimu akichangia Mada katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma. 
Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Bw. Hamidu Mwanga akiwasilisha Mada kwa Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kuhusu Changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Uchaguzi Tanzania katika Mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa Maafisa wa Mahakama yanayoendelea jijini Dodoma. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni