Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtunza Kumbukumbu wa Mahakama ya Wilaya ya Mtwara mjini Bibi. Safina Namanga kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 18/11/2020 katika hospitali iliyopo mjini Mtwara.
Mazishi
ya Marehemu Safina yamefanyika jana tarehe 19/11/2020 mkoani Mtwara.
Inna Lillah
wa Inna layhi Rajiun.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni