Mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ambaye pia alikuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Marehemu Jaji Harold Nsekela aliyefariki Desemba 06, 2020 umezikwa Mbeya Mjini Desemba 10, 2020.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za mazishi hayo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (kushoto) pamoja na baadhi ya Majaji walioshiriki katika mazishi ya Marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa kumhifadhi mpendwa wao.
Viongozi wa Mahakama pamoja na wengine kutoka Serikali wakiwa katika
sherehe ya mazishi ya marehemu Jaji Mstaafu Harold Nsekela.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni