PICHANI NI MAREHEMU JAJI (MSTAAFU), MHE. HAROLD R. NSEKELA ENZI ZA UHAI WAKE
RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHE. JAJI (MSTAAFU) HAROLD R. NSEKELA
MAHALI: VIWANJA VYA CHINANGALI-DODOMA
TAREHE: 08.12.2020
TAREHE |
MUDA |
TUKIO |
MHUSIKA |
08/12/2020
|
12:00-01:00 ASUBUHI |
KUANDAA MWILI |
FAMILIA |
12:00-02:30 ASUBUHI |
WAOMBOLEZAJI KUWASILI |
KAMATI YA ITIFAKI |
|
02:30-03:30 ASUBUHI |
VIONGOZI KUWASILI VIWANJA VYA CHINANGALI |
KAMATI YA ITIFAKI |
|
03:30-04:00 |
MWILI NA FAMILIA KUWASILI VIWANJA VYA CHINANGALI |
KAMATI YA ITIFAKI |
|
04:00-05:00 ASUBUHI |
IBADA |
ASKOFU DKT.MANASE B. MARTIN |
|
05:00-05:10 ASUBUHI |
WASIFU WA MAREHEMU |
KATIBU MKUU OFISI YA RAIS IKULU |
|
05:10-06:10 ASUBUHI |
SALAAM ZA VIONGOZI NA TAASISI |
KAMATI YA ITIFAKI |
|
06:10-06:20 MCHANA |
SHUKRANI YA FAMILIA |
MSEMAJI WA FAMILIA |
|
06:20-07:20 |
KUAGA MWILI |
KAMATI YA ITIFAKI |
|
07:20- MCHANA |
MWILI KUONDOKA VIWANJA VYA CHINANGALI |
KAMATI YA USAFIRI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni